Condition:
NEW
Description
Sprinklers, Drip na vifaa kwa shughuri ya umwagiliaji mashambani,bustani, n.k. zinapatikana bei nafuu zaidi. Tunauza jumla na rejareja. Size mbalimbali kuanzia inch 3/4 na kuendelea. Angali specifications, weka request, free derivery kuanzia pc 10. Size za sprinkler na kama ifuatavyo: 3/4'’. Inamwagilia mzunguko wa mita 24, hutoa maji ujazo wa 2-3 cubic/hr 1" Inamwagilia mzunguko wa mita 30 , hutoa maji ujazo wa 4-5 cubic/hr 1.5" Inamwagila mzunguko wa mita 45- 60, hutoa maji ujazo wa 7-8 cubic/hr. 2" inamwagilia mzunguko wa mita 60-100, hutoa maji ujazo wa ujazo wa 14-15 cubic/hr