Description
tunauza maeneo mteja wangu hapa chanika ya viwanja kwa uwekezaji wa shule ya prayvet hospitary nyumba za kibiashala kama apartment au nyumba za kuishi kifamilia eneo letu linahekali 5 mteja muwekezaji unaweza ukachukua eneo lote ila mteja muitaji wa kiwanja tutamkatia kwa milioni 4 mteja muitaji pg sm 0672747232