14.06.2022Tanzania, Dar Es Salaam

TUNAUZA TAA ZA KULELEA VIFARANGA (Infrared/heatlamp)

TZS 15 000

Condition:

NEW

Description

TUNAUZA TAA MAALUMU KWA AJILI YA KULELEA VIFARANGA.(INFRARED) ▪︎Taa hizi hutoa mwanga mwekundu ambao hupelekea kifaranga kula vizuri chakula pia humpunguzia stress. ▪︎Taa Moja hutosha Kwa vifaranga 100. ▪︎Hutoa Joto la kutosha. ▪︎Hudumu Kwa muda mrefu Bila kuungua. ▪︎Hutumia umeme kidogo ▪︎Huitaji tena kutumia mkaa hivyo hupunguza gharama ▪︎Huepusha uwezekano wa vifaranga kupata Magonjwa ya mfumo wa hewa yanayo sababishwa na gesi za carbon monoxide. ▪︎Tuna watts 100/150 200/250. ▪︎Zinakuja na warranty ya miezi kumi. ▪︎Zinakuja na Holder yake Moja Bureee. TUPO DAR ES SALAAM (TEGETA) AGIZA- TUKULETEE- TUKUKABIDHI. Instargram-(mifugo_plus) ........................................... *TUNA MAWAKALA MIKOANI KOTE* #Taazajoto#Incubator#Hygrometer#mzaniwadigital#vifaavyaincubator#heater#mzani#Deabeakingmachine#cages#pelletmachine#nipplezakukunanguruwe#Vifaranga#kroiler#

Godwin

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam