Condition:
NEW
Description
Huu ni muonekano mpya wa mashine yetu mpya ya kutotoleshea vifaranga. Sifa zake ... •Imeundwa na bodi ngumu na Imara. •Inaangua zaidi ya 97%. •Inatumia umeme kidogo. •Inatunza joto masaa 10 endapo umeme ukikatika •Inawarranty ya miaka miwili. •Inakuja na zawadi ya torch ya kupima yai pamoja na Taa ya kulelea vifaranga bureee. Ofa hii niyamuda mfupi. TUNATUMA MIKOANI KOTE . ARUSHA/DODOMA/NJOMBE/MBEYA/TANGA/MOSHI.