Condition:
NEW
Description
Jipatie ofa ya kiatamizi cha mayai 56 kwa 300.000/= Tsh tu. Tumeshusha Bei ya incubator mpaka laki tatu,Hii ni kwasababu tunakupenda sana wewe mfugaji mdogo na atutaki kukuacha nyuma nyuma. Mfugaji unapo miliki incubator yako ndogo nyumbani itakusaidia kuongeza idadi ya kuku,hivyo ni rahisi kufikia ndoto za kuwa mfugaji mkubwa. Unasubiria nini ????ni muda wa kufanya maamuzi sasa. TUPO DAR ES SALAAM (TEGETA) TUNATUMA MIKOANI KOTE KWA UTARATIBU MZURI.