Condition:
NEW
Description
TUNAUZA HUMIDIFIER/MIST MAKER. •Hiki ni kifaa ninachotumika kuzalisha joto bandani na kwenye incubator. ✓Ukitumia kifaa hiki kitakusaidia kuongeza uanguaji wa vifaranga kuliko kutumia (humidity tube),kwani kinauwezo wa kuzalisha unyevu nyevu kwa ubora zaidi. Pia tuna vifaa aina vyote vya kuundia incubator. TUPO DAR ES SALAAM ( TEGETA NYUKI)