17.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Tunauza heater za kulelea vifaranga

TZS 30 000

Condition:

NEW

Description

Tunauza heater za joto kwa ajili ya kulelea vifaranga. sifa za heater zetu. ✓unaweza kuset watts 100/200/300. ✓ heater moja inahudumia vifaranga 100 hadi 300. ✓heater hizi haziungui na hudumu kwa muda mrefu. ✓unaweza kuongeza joto na kupunguza. ✓zina mfumo wa feni hivyo husambaza joto bandani kote. ✓Zina faa kwa brooding area. •Unachomeka kwenye holder kama taa. (Utapewa holder ya chuma bureee ) DAR ES SALAAM-TEGETA *TUNA MAWAKALA MIKOAMI KOTE* #taazajoto#incubator#hygrometer#mzaniwadigital#vifaavyaincubator#heater#mzani#deabeakingmachine#cages#pelletmachine#nipplezakukunanguruwe#vifaranga#kroiler#mifugoplus

Godwin

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam