Condition:
NEW
Description
Tunauza Digital Crane scale . Huu ni mzani wa kisasa wa kupimia chakula Cha Mifugo pamoja na bidhaa zingine. ✓Unapima kilo 0 - 300. ✓unatumia betri ndogo. ✓Unatunza chaji muda mrefu. ✓Una warranty ya mwaka mzima. ✓Ni rahisi sana kuutumia. TUPO DAR ES SALAAM (TEGETA) ............................................... TUNAFANYA DELLYVERY MIKOANI.