14.06.2022Tanzania, Dar Es Salaam

TUNAUZA CHICKEN NIPPLES CUP DRINKER SYESTEM.

TZS 3 000

Condition:

NEW

Description

TUNAUZA CHICKEN NIPPLES CUP DRINKER SYESTEM. ▪︎ Huu ni mfumo wa kisasa wakunyweshe maji kuku. ▪︎unaweza kufunga ndoo.jaba FAIDA ZA NIPPLE DRINKER:- 1) Kinyesi hakichanganyiki na Maji hivyo maji huwa safi muda woote na Hupunguza uwezekano wa kuku kupata magonjwa au maambukizi ya magonjwa maana maji yanakua ndani ya ndoo na yanatoka kidogo kidogo kama matone pale Kuku anapo igusa nipple. 2) Zinafaa kwa brooding area (eneo lilotengwa kwa kuwahudumia vifaranga). 3) Kuku hawachafui banda kwa kumwaga maji. 4) Hunywesha maji wengi kuku na Hupunguza ukubwa wa kazi, kwamaana hukuna tabu ya kuziosha drinker zako kila siku, kwani kuku hawezi chafua maji yalio ndani ya drinker hii. 5) Huepusha magonjwa yatokanayo na kuchanganyika kwa kinyesi na maji. 6) Ni rahisi sana kutumia, mana utakuwa unajaza maji tu kwenye chombo/drinker na kuendelea na shughuli zingine. 7) Ni imara sana, hudumu muda mrefu bila kuharibika. 8)Hubeba maji mengi kwa wakati mmoja,hivyo unaweza kukaa siku 3 na zaidi bila kuweka maji mengine kulinganga na ukubwa wa chombo utakachotumia. NB: nipple zetu ninakuja na rubber pamoja na lock hivyo ni rahisi sana kuzifunga. TUPO DAR ES SALAAM (TEGETA) ............................................... TUNA MAWAKALA MIKONI KOTE......................................

Godwin

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam