Description
MASHINE ya kutengeneza MAZULIA mbali mbali inafaa Kwa mjasilia Mali mwenye malengo ya kutengeneza MAZULIA madogo na makubwa na inatumika nyuzi za kushonea vitambaa ambazo Kwa sasa hutumika Kwa wanawake kusukia. maelekezo NI bure, Kwa bei ya 800,000 unapata zote 2 moja kubwa ya kutengeneza na nyingine ndogo ya kushape baada ya kutengeneza. IPO yombo dovya chama Barbara ya kuelekea buza