Description
lontor rechargable led camping lantern ni taa nzuri sana inayokusaidia pindi umeme unapokatika, inakaa na charge masaa 29 warranty mwaka mmoja. unaweza kucharge kwa kutumia umeme au solar. battery ina 1800mAh inayodumu muda mrefu. tunauza jumla na rejareja