Description
SUPER GRO NI NINI? SUPER GRO ni kirutubisho cha asili cha udongo na mimea ambacho hakina kemikali.. SUPER GRO ni kirutubisho cha mimea ya aina zote kama vile Matunda, Mbogamboga, Nafaka, Miti na Bustani.. KAZI ZA SUPER GRO. ♦️Inafanya mmea kuwa na rangi yake ya asili ( Kijani ) ♦️Ni kirutubisho kinachoongeza uwezo wa mimea kutengeneza chakula chake vizuri. ♦️Inapambana na ukame na kutunza unyevunyevu kwenye ardhi ♦️Ni kichochezi kinachosaidia maji na virutubisho kufyonzwa zaidi na miziz