Condition:
USED
Description
Made in Italy, 1200 w, stainless steel and rust proof pressed aluminium. Ni mashine ya kusaga nyanya, pilipili na viungo vingine kama hivyo. Ni imara pia ina nguvu kubwa ya kusaga kiwango kikubwa cha viungo. Inafaa viwanda vya viungo na hotelini.