Description
Nyumba Inauzwa Mbagala Mbande. Nyumba ipo mbili kwenye eneo moja. Nyumba kubwa ina vyumba vitatu vya kulala ikiwemo master bedroom moja ina jiko Dina na seeting room na nyumba nyingine ina vyumba saba vya kulala na vyote vina wapangaji pia kwa nje kuna frem nne za biashara na zote zina wapangaji nyumba ina umeme na maji yapo bei mil 42 kwa maelezo zaidi tupigie simu 0653204486 au 0687034948