Description
== NYUMBA NI MPYA IPO KIHONDA AZIMIO MOROGORO == INA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA NI MASTER, SEBULE,JIKO,CHOO CHA JUMUIYA NA CHOO CHA NJE == UWANJA UMEPIMWA NA UKUBWA WA 20 KWA 30 == BEI NI MILIONI 45 == WASILIANA NA DALALI FRANCIS 0752481398