Description
Nyumba ipo Ilala chanika mjini ni nyumba ya vyumba vitatu vya kulala ikiwemo master bedroom moja ina jiko Dina na seeting room kubwa ina uwanja wa kutosha kupaki magari yako. Nyumba ina maji na umeme unawaka bei milioni 35 maongezi yapo kwa maelezo zaidi tupigie simu 0653204486 au 0687034948