27.05.2024Dar es Salaam

Nauza viwanja

TZS 2 600 000

Description

Nauza viwanja bei poa chanika zingiziwa Dar es salam vipo viwili pamoja Kila kimoja 2600000 ukubwa mita 12 kwa 20 vipo center kabisa huduma za kijamii zote zipo ukichukua vyote nakupozea bei Hakuna dalali Mimi ndo mwenyewe Pia Kama una gari njoo tubadilishane piga au WhatsApp 0655005183

Salim M.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam