04.11.2024Dodoma
Description
Mpira kwa ajili ya kufanyia mazoezi Gym au hata nyumbani, bado mpya kabisaa umetumika si zaidi ya week 1, niliununia kwa sababu fulani lakini sasa sina matumizi nao, maongezi yapo.
Chat with Josephine M.
Call Josephine M.