24.01.2022Tanzania, Dar Es Salaam

mizani

TZS 250 000

Condition:

NEW

Description

DIGITAL ELECTRONICS WEIGHT SCALE Tunauza Mizani za kisasa kwa ajili ya matumizi ya Duka,Bucha,Majumbani,Jikoni na Biashara mbalimbali . ?? *Mizani hizi hupima uzito wa vitu/magunia Kama ya Unga,Mchele,Sukari,Maharage,Nafaka mbalimbali* ?? *Pia ni mizani Bora na salama kwa matumizi ya Buchani kupimia uzito wa Nyama,Samaki,Kuku na Dagaaa n.k* .?? Mizani hizi zina uwezo wa kupima kuanzia *100kg,200kg na 300kg * kwa accuracy nzuri kabisaa (kadirio Bora la uzito) nzuri kabisa ??Mizani hii ya kisasa ina sehemu ya screen kwa ajili ya kuonyesha bei na kilo.?? Ubora* ✓Mizani zetu ni imara Sana na unaweza kuchaji na Kisha kutumia kwa mwezi na nusu bila kuchaji tena, ✓Njooo ujipatie kilichobora zaid. *Huduma ya delivered* ??Tunafanya delivered free(bure) na kwa uaminifu mkubwa sana ndani ya mkoa wa DSM na kwa kuchangia kidogo kwa gharama ya usafirishaji nje ya mkoa wa DSM.??

Kivuyo

Member since 2019.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam