24.01.2022Dar es Salaam

mizani

TZS 250 000

Description

DIGITAL ELECTRONICS WEIGHT SCALE Tunauza Mizani za kisasa kwa ajili ya matumizi ya Duka,Bucha,Majumbani,Jikoni na Biashara mbalimbali . ?? *Mizani hizi hupima uzito wa vitu/magunia Kama ya Unga,Mchele,Sukari,Maharage,Nafaka mbalimbali* ?? *Pia ni mizani Bora na salama kwa matumizi ya Buchani kupimia uzito wa Nyama,Samaki,Kuku na Dagaaa n.k* .?? Mizani hizi zina uwezo wa kupima kuanzia *100kg,200kg na 300kg * kwa accuracy nzuri kabisaa (kadirio Bora la uzito) nzuri kabisa

Kivuyo

Member since 2019.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam