Description
Mashine inayotumika kutengenezea juice ya miwa, inatumia mafuta ambayo yanawekwa kwenye generator. Na hiyo generator imefungwa hapo hapo kwenye sehem ya chini ya hiyo mashine. Mashine unaweza kuihamisha na kuweka sehem yoyote unayotaka kufanyia biashara. Ni mashine used.