Description
nyumba inapangishwa ipo kitungwa morogoro ina vyumba viwili vya kulala na kimoja ni master, sebule, jiko, store na public toilet nyumba ipo ndani ya fensi kodi kwa mwezi ni laki mbili na nusu tu(250, 000) kwa maelezo zaidi 0714444838/0752481398