Condition:
NEW
Description
Inafua, inasuuza pia inakamua Inatumia umeme mdogo sana Ina warranty miaka 2 years Usafiri ni bure mpaka mlangoni kwako Malipo yanafanyika baada ya mzigo wako kufika nyumbani kwako kwa mkazi wa dar es salaam Mkoani pia tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana au kama una ndugu jamaa rafiki yako aliyeko dar es salaam anaweza kufika dukani kwetu kwa uaminifu zaidi