Condition:
USED
Description
Made in italy. 400W, 50-60Hz. Commercial, all purpose stainless steel blade, hand blender and mixer with extra whisk. Blenda ni kubwa na inamatumizi mengi katika majiko makubwa na viwanda vidogo. Kama kusaga na kuchanganya viungo, pia kuchanganya mchanganyiko wa kutengeneza sabuni na kadhalika.