Description
Husaidia:- 1.Kuondoa makunyazi na weusi ulioachwa na machunusi sugu. 2.Huongeza unyevu nyevu katika ngozi na kuifanya inga'ae na kunyooka kama ya kijana. 3.Huondoa makovu yaliyotokana na vidonda. 4.Kupunguza athari za kupata kansa na kisukari. 5.Kupunguza kasi ya uzee. (Huwafaa zaidi wanawake wanaojali urembo wao) 6. Huondoa michirizi kwenye ngozi. 7. Huondoa weusi mapajani, usoni na makwapani.