Description
Huduma za kukodisha viyoyozi vya aina ya Daikin inveter kutoka kampuni Baridi Baridi ya Japan. *FAIDA ZAKE* 1.Gharama nafuu za awali 2.Matumizi madogo ya umeme ukilinganisha na viyoyozi vingine 3.Usafirishaji na matengenezo bure 4.lipa kadiri utumiavyo (vifurushi)