Description
Karibu saana kwa matengenezo ya air conditioning za magari ya aina zote, majumbani, maofisini, cold rooms na mafriji. Pia tunauza air condition na mafriji yaliyo tumika ( used ) na vifaa/ vupuri vyote vya bidhaa zilizotajwa hapo juu. Tunatoa huduma zetu ofisini kwetu au tunaweza kukufuata popote ulipo. Baada ya huduma zetu tunakupa warrant/ guarantee yaani muda maalum kwamba tulichokitengeneza hakiwezi kuharibika. Pia tunaweza kukupa huduma ya ushauri kwa njia ya simu bila malipo yoyote. Karibu saana tupo Kirumba - Mwanza mkabala na soko la Kirumba. Kwa maelezo zaidi unaweza kutupa kwa kubonyeza link hii hapa chini https://cutt.ly/LUhGEOP