Description
Maisha yamebadilika, hakuna tena kusubiri nguo masaa 4 kwenye kamba mpaka ikauke.*Kwa kutumia 7kg Spin dryer ikaushe nguo yako ndani ya dakika 10 baada ya kuifua then inyooshe na uivae hapohapo! Spin dryer itakusaidia kukausha ndani ya muda mfupi na kuondokana na adha za nguo mbichi hususan kwa kipindi hiki cha msimu wa mvuanUnaipata kwa 260,000TshInstagram: kigambonikwetuelectronicsTupo *KIGAMBONI FERRY* opposite na *SHELI YA KOBIL*Call: *0777 - 888 486*Whatsapp: *0659 - 960 296*