Description
Ni ukweli usiopingika kuwa mda wa kusoma CPA ni mchache kuliko masomo yanayotakiwa kufanyiwa maandalizi ya kufanyiwa mitihani,,Lakini wewe kutokana na ratiba zako kuwa ngumu unashindwa kuhudhuria vipindi vya kawaida vinavyotolewa na centre zilizopo,hivyo kukufanya uwe na wakati mgumu sana wa kufanya maandalizi. *TUMEKULETEA HABARI NJEMA* Sasa unaweza pata fundishwa masomo yako ya CPA kwa wakati wako wewe binafsi na katika mazingira ya kisasa na kwa gharama nafuu kutoka kwa wataalamu wa mbinu za kufanya mitihani .Tunatoa huduma hii kwa level zote,wewe tu tupe mda wako *Wasiliana nasi* ◾️Venue zetu zipo victoria house,floor ya nne *USIBANANEBANANE WEWE NI MTU MKUBWA*