Details
Description
mradi upo kigamboni kibada block 19(kibada kwa washua) umbali ni km 12 kutoka fery na 11km kutoka darajani. Bei ni Tsh 45,000, kwa sqm 1. viwanja vimepimwa na vinatambulika kisheria Hati tutakusaidia kupata ndani ya siku 10 za kazi ukikamilisha malipo. malipo yanaweza kulipwa ndani ya miezi 3 baada ya kulipa advance. karibu sana 0693410359