Description
shamba la eka 5 linauzwa shamba hili lipo hapa Kijiji Cha bago kata ya kiwangwa shamba lipo kilometa 1 kutoka barabara ya lami kabisa iandayo msata bagamoyo shambahili linauzwa lote milioni 7 nalaki 5 kwamawasiliano zaidi piga simu namba 065678067