Condition:
NEW
Description
Tunafunga bomba za maji safi na maji taka kwenye majengo, viwanda, n.k. Tutakufanyia huduma ya mahesabu ya materials za plumbing kwenye jengo lako bure kabisa. Kwa mteja ambaye hawezi kumudu gharama ya pamoja anaweza kupata huduma hii kwa awamu tatu. 1. hatua ya kwanza tutakuja site kwako kudesign na kulocate njia ya usambazaji wa maji kuingia na kutoka ndani ya nyumba yako ,pia hatua hii fundi atakufanyia hesabu za gharama zote za material ya bomba. 2. ukishanunu material za bomba fundi atakuja kutoboa channel alizodesign au alizolocate na kufanya installation za bomba zote. 3. Mwisho ni finishing, fundi atakufungia plumbing fixtures mfano sinki la kunawia, sink la choo, shower, koki, water heater, water purification system, n.k. Tupigie sasa kwa ushauri na tukuhudumie.