03.05.2022Tanzania, Tanzania

Nyumba inauzwa misongeni bigwa

TZS 95 000 000

Description

NYUMBA NA BOMA ZINAUZWA BIGWA MOROGORO NYUMBA NA BOMA LENYE VYUMBA VINNE VYA KILALA NA KATI YA HIVYO VITATU NI MASTER, SEBULE, JIKO, STORE, MAKTABA NA PUBLIC TOILET KUNA BANDA LA KUFUGIA MBWA, KUNA BWAWA LA KUFUGIA SAMAKI NYUMBA ILIYOKAMILIKA INA VYUMBA VITATU PIA KUNA DINNING YA NJE NA JIKO LA NJE ENEO LOTE LIMEZUNGUKWA NA FENSI ENEO LINA UKUBWA WA EKARI MOJA UMEME NA MAJI VIPO BEI NI MILIONI TISINI NA TANO(95, 000, 000) SIMU:0752481398

Mwalimu F. Y. M.

Member since 2019.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Tanzania