Description
Mabati Bora yanayodimu Kwa Muda mrefu bila kipoteza muonekano wake halisi. Zina Aluminium, Zinc na Iron ambazo hufanya bati lako lisipauke Wala kupata kutu lakini pia kufanya bati lako liwe katika ubora wa geji husika. ex. 30G Thikness 0.25mm. na G ni 0.32mm. karibu kiwandani tukuhudumie ndugu mteja.