Description
ENEO LINAUZWA NA BANK KIBAHA MJINI VIKAWE BONDENI Kuna Mabanda Sita (6) Makubwa Ya Kufugia Na Room Moja Ya Kulala Pia Kuna Foundation Ya Magodauni Mawili Umiliki: Hati Ya Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa Ukubwa Wa Eneo: SQM 5,500 Umbali: 6 Kilometres Kutoka Bagamoyo Road Mark : Baobab (Ndio Unaingia Kwenda Site) Near : Kwa Mama Anna Mkapa Eneo Ni Kubwa Na Zuri Sana Bei : 49 Million (Makadirio Njoo Na Offer) Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 20,000/= Simu Namba 0620876252 KARIBUNI SANA