Details
Description
*Nyumba inauzwa Kinondoni Studio* *Distance* Mita 100 kutoka barabara kuu (main road) -Nyumba ina vyuma 4 vya kulala, kimoja master bedroom, sitting room, dinning room, kitchen, Public toilet na stoo -Plot size Sqm 400 -Hati ipo (Title deed) *Bei shilingi milioni 400*