22.09.2022Dar es Salaam
Details
Description
laptop inauzwa ina tatizo la kuchelewa kuwaka hiyo inasababishwa na windows maana yake ukiichukua ni lazima uipeleke kwa mtaalam ili ikapigwe window baada ya hapo itafanya kazi bila shida yoyote ile beki laki na hamsini tu
Chat with Coolest R. e.