Details
Description
imetumika miezi minne tu Charge masaa manne mpaka sita kwa matumizi ya kawaida RAM 8G processor 2.5Ghz Backlight keyboard ....inafika popote pale kwa uaminifu mkubwa sana Pc ipo safi na Haina shida hata ya kusingiziwa. karibu sana HATA UWE MAREKANI MZIGO UNAKUFIKIA KWA MDA SAHIHI NA UAMINIFU MKUBWA