09.01.2022Tanzania, Dar Es Salaam

GPS TRACKNG SYSTEM

TZS 170 000

Condition:

NEW

Description

Gps TRACKING SYSTEM Jipatie #GPS ambayo itakupa taarifa mbalimbali za chombo chako ambazo zitakusaidia kwenye kulinda chombo chako, kucontrol . #GPS hii inaweza kufungwa kwenye gari, pikipiki, Tv, bajaji, laptops Sifa za #GPS Kupitia #GPS hii utaweza kutambua kiwango cha mafuta kinachotumika. Kuweza kujua speed ya chombo chako. Utaweza kuona sehemu yoyote gari lako lilipo. Utaweza kuzima na kuwasha gari lako sehemu yoyote litakakuwa kupitia application tutakayokupatia. Utakuwa unatumiwa pia msg kupitia mfumo wa kawaida kukupa taarifa ya chombo chako. Utakuwa ukitumiwa report kila siku kuhusu taarifa za chombo chako Gps hizi unaweza kuzifunga kwenye gati, pikipiki, bajaji, tv, radio, computer, mbwa, paka n.k Mafundi wetu wanafika mahali popote kukupa huduma hii. Instagram: @the doon1

Dizzy electronics

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam