Description
Original Flash zinazotumika katika simu na Computer (2 in 1) GB 16, Zipo kwa watumiaji wa Simu za Type C na Simu za USB za kawaida. Utaweza kuhamisha taarifa kutoka katika simu yako kwenda kwenye flash na kutoka kwenye flash kwenda kwenye simu yako. Utaweza kuaangalia muvi zilizopo kwenye Flash kwa bei nafuu, Tunakuletea popote ulipo