21.12.2021Tanzania

Laptop Za Watoto

Negotiable

Description

Mpatie mwanao furaha na tabasamu huku ukiipumsha simu yako kwa kumpatia Laptops za Watoto.Uwezo:√ Zinatumia mfumo wa Android√ Ni Touch screen√ Zimesheni masomo Nursery mpaka class 7√ O-level notes MASOMO yote√ Anatumia mtoto kuanzia miaka 2-14√ Cartoon na Games√ YouTube Kids√ Zoom Touch √ Unaweza kutitumia kwa muonekano wa Tables au Computer kawaida√ Hard Disk 8GB√ RAM 1 GB√ Internet kwa WiFi, Hotspot au Modem √ USB Ports 2√ HDMI √ Card Reader 1√ Earphone na Microphone√ Unacharge na umeme na inaweza kukaa na betri zaidi ya SAA 4 na kuendelea.Laptop hizi ni imara na zinawafaa hata wale watoto watundu.MALIPO YATAFANYIKA BAADA YA KUPOKEA MZIGO WAKO , BEI 140,000/=

Victor M.

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location