Details
Description
nauza laptop yangu. aina ni HP NEW MODEL ina ram gb 4 na Hdd gb 500 betri inakaa na chaji kwa masaa ma 3.. inafanya kazi vizuri kabisa nauza na chaji yake na mouse ila inashida kidogo sana katika kioo mkono wa kuria ili jigonga inga hivyo hivyo inafanya kazi na iko vizuri sana bei ndo hiyo maelewano yapo