Details
Description
HP ProBook X360 G4 EE Intel core i5 8th gen Ram 8GB DDR4 SSD 128GB Intel UHD graphics 615 Touch screen Display 12.5 inches Mashine ni mpya kabsa na Iko vizuri sana kama inavyo onekana kwenye picha. Kioo kinakunjika nyuzi 360. Inafanya kazi nzito kama graphics designing, kucheza magem na vyenginevyo... Usiogope kuuliza swali na pia maongezi yanaruhusiwa karibuni sana dukani kwetu. Duka letu lipo Barabara ya 10. Tunatazamana na abuu marangi. Karibuni