Details
Description
HP Stream 11 Pro G2 Intel Celeron (R) N3050 Ram 4GB SSD 128GB Intel Hd graphics Display 11.6 inches Haya sasa mashine nzuri kwa bajeti ndogo sana. Mashine ni slim(nyembamba) na (portable) nyepesi sana. Chaji masaa matano (5) na zaidi... Usiogope kuuliza swali na pia maongezi yanaruhusiwa karibuni sana dukani kwetu. Duka letu lipo Barabara ya 10. Tunatazamana na abuu marangi. Karibuni