Details
Description
Sifa zake za ndani Ina ram 4gb hdd 500gb processor ya core i5 Inafaa kwa kazi nzito na gaming (program zote zinarun bila shida) Battery inayo dumu muda mrefu hata umeme ukikatika Slim na body ya aluminium imara na inayodumu mazingira yoyote Karibu sana ujipatie laptop hii