09.01.2022Tanzania, Dar Es Salaam

GPS TRACKNG SYSTEM

TZS 75 000

Condition:

NEW

Description

ULINZI WA GARI YAKO DHIDI YA WEZI WA MAGARI. Ninazo GPS tracking device za aina mbili naziuza. Na ni za kipekee sana. AINA YA KWANZA. (Bei Tsh. 75,000/=). Hizi zipo 5 tu. Ni chip ndogo sana size ya line ya simu. Hivyo ni rahisi kuificha ndani ya components zilizo nyingi kwenye gari. Inakupa location kwa kukupa google map link. Unaweza kuipigia simu na kusikiliza maongezi mahali gari lako lilipo. Ina built in battery hivyo haitegemei umeme wa gari muda wote. AINA YA PILI. (Bei Tsh. 150,000=). Hizi zipo 2 tu. Ina muonekano kama baadhi ya components zilizopo kwenye gari lako. Hivyo hakuna haja ya kuificha. Ina accuracy ya hali ya juu sababu inacombine positioning tech za aina tatu, GPS, GLONASS na LBS. Unaweza kuilink na mfumo wa mafuta na hivyo unakuwezesha kulizima gari lako kwa kutumia simu kabla hata mwizi wako hajafika mbali. Ina built in battery hivyo haitegemei umeme wa gari. Unaweza kuset geofence. Yaani gari yako itumike tu ndani ya eneo fulani. Likitoka nje ya hapo unapata taarifa. Na mengine mengi. Pia kama unahitaji diagnosis na repair ya gari lako karibu. NIPO DAR Tuwasiliane kwa maelezo zaidi.

Dizzy electronics

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam