Details
Description
Laptop inashida kidogo kwenye display. Mkanda unaounganisha motherboard na display unasumbua kidogo hivyo sometimes screen inachezacheza. ukitoa hilo haina shida nyengine yeyote. Specification model: Hp Dragonfly G1 CPU: i5 8th gen Ram: 8gb Storage: ssd 256 gb Display: 1080p resolution Battery: 6 hours. mawasiliano: 0782193949