Description
Yadi ipo Mbagala chamazi saku ni yadi lenye ukubwa wa ekari mbili ina ofisi na kisima cha maji pia kwa nje kuna frem 15 za biashara. yadi lina hati miliki na ni kilomita moja na nusu kutoka barabara kuu ya lami ya Mbande-Kariakoo na barabara ya kufika mpaka sita ni safi kabisa bei milioni 900 kwa maelezo zaidi tupigie simu 0653204486 au 0687034948