05.02.2022Tanzania

Viwanja Vya Sqwata Na Kupima Kigamboni JIJINI Dar At Avic Town, Cheka & Mwembe Mdogo

TZS 4 500 000

Description

Viwanja vipo Kigamboni JIJINI Dar es salaam katika miji ya Avic Town, Cheka na Mwembe mdogo karibu na chuo cha Afya Kigamboni kwa Sqwata kwa ukubwa wa 500sqm bei ni tsh 4.5ml na vyakupima bei ni tsh 18elfu kwa sqm 1

HAMISI L.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location