Details
Description
KWA WALE WENYE NAFASI KESHO MNAKARIBISHWA KUJA KUONA VIWANJA HIVI VIPO VIKINDU MAGODANI BEI NI SHILLING MILLION MOJA NA LAKI TANO TU. PIA TUNAPOKEA MALIPO KWA AWAMU UNAWEZA KUANZA NA LAKI TANO AU ZAIDI KISHA ILIYOBAKI UTAILIPA KIDOGOKODOGO KWA MUDA WA MIEZI MINNE MPKA MITANO. KWA MAELEZO ZAIDI TUWASILIANE